Customer Service Delivery Charter in Kiswahili
MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA
MITHALI
Kuweka mwelekeo wa juu wa kielimu, utafiti na ubunifu wa masomo ya kiufundi
RUWAZA
Kuwa chuo bora cha masomo ya kiufundi, biashara na utafiti ndani na nje ya Kenya
JUKUMU
Kufudisha na kuandaa wanafunzi kwa ufundi, biashara na ustadi wa kiutafiti
S/No |
HUDUMA |
WAJIBU WA WATEJA |
MALIPO |
MUDA |
1. |
ULIZO NA UPOKELEAJI |
|
|
|
|
§ Kushughulikia ulizo |
Kuwasilisha ulizo kwa mpangilio maalum |
Bila malipo |
Kwa dakika tano |
§ Majibu kwa ulizo andishi |
Wasilisha ombi rasmi |
Bila malipo |
Siku saba za kufanya kazi |
|
§ Majibu ya simu na rununu |
Wasilisha habari sahihi |
Bila malipo |
Kwa milio mitatu ya simu |
|
2. |
MAOMBI YA KOZI |
|
|
|
|
§ Kuomba nafasi ya kozi |
Barua ya maombi na nakala za: - Nakala za matokeo ya mitihani/cheti - Kitambulisho cha kitaifa - Cheti cha kuzaliwa - Ada ya malipo ya ombi |
Shilingi elfu tano (5,000) |
Wiki tatu kabla ya karibisho |
|
§ Karibisho na usajili |
- Barua kamili ya karibisho - Vyeti halisi kwa thibitisho - Picha za pasipoti - Malipo ya ada hitajika |
Kulingana na mpangilio wa malipo |
Siku ya kuripoti chuoni |
3. |
MAFUNZO/MASOMO |
|
|
|
|
§ Kufudisha na kuelimisha |
- Usajili - Uhudhuriaji masomo - Vifaa hitajika vya masomo |
Kulingana na mpangilio uliopo |
Kulingana na ratiba rasmi ya wizara |
4. |
(KUTAHINI) MITIHANI |
|
|
|
|
§ Mitihani ya ndani ya chuo |
- Asilimia sabini na tano (75%) ya uhudhuriaji masomo |
Bila malipo |
Kulingana na ratiba ya mitihani |
|
|
- Kulingana na sharia za kielimu |
|
|
|
§ Mitihani maalum |
Kulingana na mapendekezo ya bodi ya kielimu chuoni |
Shilingi mia tano(500) kwa kila mtihani |
Kulingana na ratiba ya mtihani |
|
§ Mitihani ya nje ya chuo |
- Malipo ya ada ya mitihani - Vyeti halisi na nakala za hati hitajika |
Malipo kamili ya ada ya mtihani |
Kulingana na ratiba ya mtihani |
5. |
VYETI VYA THIBITISHO VYA KUFUZU |
|
|
|
|
§ Utoaji vyeti vya matokeo ya mtihani |
- Fanya mijarabu na mitihani ya mwisho wa muhula |
Bila malipo |
Mwezi mmoja baada ya matokeo ya mtihani |
|
§ Utoaji wa vyeti vya mitihani ya kitaifa |
- Malipo ya karo na jazo la fomu ya uwazi wa usahihi |
Bila malipo |
Kwa siku moja |
6. |
UZOEFU WA KITAALUMA (B) |
|
|
|
|
§ Kutuma wanafunzi kwa viwanda |
Malipo ya shughuli za tajriba viwanda |
Malipo ya shughuli za tajriba viwanda |
Kulingana na ratiba |
|
§ Kutahini wanafunzi |
Fomu iliyojazwa kuhusu pale mwanafunzi alipo kiwandani |
|
Kulingana na ratiba |
7. |
UAGIZAJI BIDHAA NA HUDUMA |
|
|
|
|
§ Malipo ya bidhaa na huduma zilizoagizwa |
Stakabadhi/hati za uagizaji (LPO, LSO, Delivery note, Invoices) |
Bila malipo |
Siku saba baada ya kuwasilisha hati za uagizaji |
KUZINGATIA HESHIMA NA HADHI NA KUTOA HUDUMA YA UPEO WA JUU!
Huduma yoyote ambayo haiafikiani na vigezo vilivyotajwa au kama afisa yeyeto haafikiani na uzingativu wa utoaji huduma ya upeo wa juu, aripotiwe kwa:
MSIMAMIZI MKUU MKUREGENZI, TAASISI YA MASWALA YA SHERIA
THE NORTH EASTERN NATIONAL POLYTECHNIC S.L.P 20414 – 00200 NAIROBI
S.L.P 329 – 70100, GARISSA BARUA PEPE: MALAMISHI @OMBUDSMAN.GO.KE
FAKSI: 0462102488, SIMU: 0716061788 NAMBARI YA SIMU BILA MALIPO:0800221349/0202270000
BARUA PEPE: INFO@NORTHEASTERN POLY.AC.KE
MTANDAO: NORTHEASTERNPOLY.AC.KE
HUDUMA BORA SIO MAPENDELEO, HUDUMA BORA NI HAKI YAKO,
HUDUMA BORA NI HAKI YAKO