Kuweka mwelekeo wa juu wa kielimu, utafiti na ubunifu wa masomo ya kiufundi
Kuwa chuo bora cha masomo ya kiufundi, biashara na utafiti ndani na nje ya Kenya
Kufundisha na kuandaa wanafunzi kwa ufundi, biashara na ustadi wa kiutafiti
| S/No | HUDUMA | WAJIBU WA WATEJA | MALIPO | MUDA |
|---|---|---|---|---|
| 1 | ULIZO NA UPOKELEAJI | |||
|
Kuwasilisha ulizo kwa mpangilio maalum | Bila malipo | Kwa dakika tano | |
|
Wasilisha ombi rasmi | Bila malipo | Siku saba za kufanya kazi | |
|
Wasilisha habari sahihi | Bila malipo | Kwa milio mitatu ya simu | |
| 2 | MAOMBI YA KOZI | |||
|
Barua ya maombi na nakala za:
|
Shilingi elfu mbili(2,000) | Wiki tatu kabla ya karibisho | |
|
|
Kulingana na mpangilio wa malipo | Siku ya kuripoti chuoni | |
| 3 | MAFUNZO/MASOMO | |||
|
|
Kulingana na mpangilio uliopo | Kulingana na ratiba rasmi ya wizara | |
| 4 | (KUTAHINI)MTIHANI | |||
|
|
Bila malipo | Kulingana na ratiba ya mitihani | |
|
Kulingana na mapendekezo ya bodi ya kielimu chuoni | Shilingi mia tano(500) kwa mtihani | Kulingana na ratiba ya mtihani | |
|
|
Malipo kamili ya ada ya mtihani | Kulingana na ratiba ya mtihani | |
| 5 | VYETI VYA THIBITISHO VYA KUFUNZU | |||
|
Fanya mijarabu na mtihani wa mwisho wa muhula | Bila malipo | Mwezi mmoja baada ya matokeo ya mtihani | |
|
Malipo ya karo na jazo la fomu ya uwazi wa usahihi | Bila malipo | Kwa siku moja | |
| 6 | UZOEFU WA KITAALUMA (B) | |||
|
Malipo ya shughuli za tajriba viwanda | Malipo ya shughuli za tajriba viwanda | Kulingana na ratiba | |
|
Fomu iliyojazwa kuhusu pale mwanafunzi alipo kiwandani | Bila malipo | Kulingana na ratiba | |
| 7 | UAGIZAJI BIDHAA NA HUDUMA | |||
|
Stakabadhi/hati za uagizaji(LPO,LSO,Delivery note, Invoices) | Bila malipo | Siku saba baada ya kuwasilisha hati za uagizaji | |
Huduma yeyote ambayo haiafikiani na vigezo vilivyotajwa au kama afisa yeyote haafikiani na uzingativu wa utoaji huduma ya upeo wa juu aripotiwe kwa:
THE NORTH EASTERN NATIONAL POLYTECHNIC
S.L.P: 20414-00200 NAIROBI
S.L.P: 329-70100, GARISSA
BARUA PEPE: MALAMISHI@OMBUDSMAN.GO.KE
FAKSI: 0462102488
SIMU: 0716061788
NAMBA YA SIMU BILA MALIPO: 0800221349/0202270000
BARUA PEPE: INFO@NORTHEASTERN POLY.AC.KE
MTANDAO: NORTHEASTERNPOLY.AC.KE
HUDUMA BORA SIO MAPENDELEO, HUDUMA BORA NI HAKI YAKO,
HUDUMA BORA NI HAKI YAKO